MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,035
- 64,849
Yuko vizuri
Mkuu MALCOM LUMUMBA..
Una mpata huyu dogo wa Canada.. Anajitahidi sanaa.. Leo nilikuwa nasikiliza Album yake inaitwa HANDWRITTEN... Dogo anajitahisi aisee.
Ingine hiii
Na hiyo.
stitchesshaw mendez... hyo ya kwanza inaitwa snitches
Mkuu MALCOM LUMUMBA..
Una mpata huyu dogo wa Canada.. Anajitahidi sanaa.. Leo nilikuwa nasikiliza Album yake inaitwa HANDWRITTEN... Dogo anajitahisi aisee.
Ingine hiii
Na hiyo.
Yeah.. Nina album yake inaitwa HANDWRITTEN iko vizuri sanaa..Kaka swawn Mendez anajitahidi aisee duuh.
Ila Canadians wanajitahidi sana
Yeah.. Nina album yake inaitwa HANDWRITTEN iko vizuri sanaa..
Dogo anajua
Can't think of anyone bigger than J legend, Ed Sheeran and Jason Mraz! But this one is good too.. Almost there!