Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
Mshana Jr. Kwaresma dugu yangu.
Victoria Allure. Huh?
"Kaka... ugonjwa wangu huu"
Hapa kwenye matope pamenivunja mbavuSpecial for bumpy n rough roads hasa kwenye matope
Naam hapa ndipo unajizihiridhisha utukufu wa Mungu....kuunda kiburudisho kama hichi inataka utulivu wa hali ya juu sana.....
Kwakweli kwa pc sifahamu kwakuwa natumia simu