Big Yes ama Big No

Big Yes ama Big No

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Huyu single mama amezidi sasa ni muda atafute bwana.
1759147080214.jpg

Hii ni form ya child abuse na sexually abuse tu. Hii sio kazi wala jukumu la kijana wako.
Loh bora hizo zingine hii ya fan big NO.
1759147076210.jpg
 
'Labda' huyo ni mwanae pekee na ana
Changamoto ya mgongo na shingo,
Msaada pekee wa karibu ni mwanae.

Tatizo ni kurusha kwenye mitandao.
 
Hapo dogo akimaliza anazamishwa Chumvini, ila watu wa Daslam...🫡
 
Back
Top Bottom