Big up udsm

Big up udsm

Ili Chuo kiwe bora, mii naona nilazima kiwe na influence kwenye nchi au hata Jamii ya Dunia kwa ujumla kisiasa, kiuchumi, kiteknolojia na ki jamii. Full stop.
 
Udsm is the best, utake usitake, mambo ya kazi hiyo ni part nyingine sababu huko makazini Technical know who imetawala, ni reputable unvsty.

upo mkuu?!...naona unatoa daawa
 
udsm kitaendelea kubaki chuo kikongwe na maarufu hapa tanzania. kwa upande wa ubora sijajua vigezo gani wanaangalia so siwezi kulinganisha. nilipita hapo udsm class of 2006
 
Migomo migomo kidogo ndo iliiyumbisha ud..vijana hawaendi tena rev square ni desa kwa kwenda mbele..hata namba 4 km imeonewa hivi..hicho ndo chuo cha taifa...am proud to be an engineer from the hill.
 
Hongereni UDSM...... tujitahidi kuingiza vyuo zaidi kwenye rank hii...... kama ilivyo South Africa.....
 
Back
Top Bottom