Big Brother Africa 2009 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Big Brother Africa 2009

Discussion in 'Entertainment' started by JamiiForums, Jun 13, 2009.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  Jun 13, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,101
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  BIG BROTHER AFRICA 2009
  By Jethro


  Huu ndio mtazamo wangu, Je wana JF mwasemaje?

  Bha Ndugu,

  Kwa ufupi tu: Mchakato mzima wa Big brother Africa ndio wakaribia kuanza kwa kuwatafuta watu au vijana mahili wa kutuwakirisha esp kwa kutoka hapa kwetu Tanzania na tumekwisha ona mafanikio ya watu wawili nao ni Mwisho mwapamba na Richard na moja mwana dada kwajina Riatuu kama sijalikosea ambaye ndie alivuruga mazima big brother Africa ya mwaka jana.

  Mwaka huu pia twaitaji kumchagua mtu na na hili hufanywa na wahusika wapo na twawajua sana, ila ni pale tu hao wahusika wanapokuja kutuchagulia mtu wa kutuwakirisha huko Big brother Africa kwa mwaka ata faaa au nae takuwa gozi gozi kama wa mwaka jana??

  Mie kwa maoni yangu: wafuatao mmoja wao ndio nadhani angepewa kipaumbele

  1:ABDULKARIM au Abdul (FROM MAISHA PLUS) kutoka Zanzibar
  2:CHARLES (FROM MAISHA PLUS) kutoka Arusha
  3:UPENDO (FROM MAISHA PLUS) Kutoka Mwanza

  kwani hawa nilio wataja hapo juu kupitia TBC1 wananchii waliweza kuwaona na kuwatambua vyema sasa wahusika wa amue kati ya hao watatu nilio wataja mmoja aende Big brother na nina uhakika atapigiwa kura na watanzania na atashinda.

  Huu ndio mtazamo wangu, Je wana JF mwasemaje?
   
  Last edited by a moderator: Jun 13, 2009
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Of which tutapendekeza tena mshindi awe Abdul from zbar?
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Haya ni matamanio yako kama Mtz LAKINI KUMBUKA watayarishaji nao wana matakwa na vigezo vyao.Nimesikia Clouds wakizungumzia kuweka kipindi maalum kitakachomshirikisha Richard( BBA 2007 winner) kuja kuzungumzia nini kitasaidia kupata wawakilishi bora.Nadhani wenye interest wasikilize na pia kufuatilia na Multi-choice- waratibu wa zoezi hili kujua wanaweza kushiriki vipi.Tukumbuke pia kuwa mwaka huu dau limeongezwa kutoka $100,000 hadi $200,000, na pia siyo lazima Tanzania ikawa na mwakilishi kwa maana kama hakuna waombaji wenye sifa, basi nchi nyingine zinaweza kutoa mshiriki zaidi ya mmoja!
  Kupendekeza washiriki wa Maisha plus haisaidii sana maana siyo lazima wakaonekana wanafaa kwenye hiki kinyang'anyiro!
   
 4. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi hiyo $ 100,000-200,000 wanakatwa kodi na serikali ya Tanzania au South Africa?
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mshindi wa Tanzania anayeingiza hilo pato anatakiwa kulipia kodi kama pato lingine.Nakumbuka hili lilileta majadiliano sana 2007 Richard aliposhinda $100,000, ila sikumbuki walimalizana vipi.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu hao ulio wataja wame apply kwa ajili ya nafasi hiyo? Maana mwakilishi ana patikana kwa kuomba mkuu siyo mtu anafuatwa na kuombwa awakilishe. Pia kuna vigezo waandaaji wanavi tafuta kwa hiyo unge tafuta ni vigezo gani wana vitaka kisha uka compare na vigezo walizo nazo hao wenye majina uliyo taja juu. Tukumbuke kuwa Big Bro ni kwa Africa nzima kwa hiyo usione hawa wamependwa Tanzania basi na nchi zingine za Africa zita wapenda na kuwa pigia kura.
   
 7. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Hakuna hata mmoja anayefaa wote watachemka
   
 8. m

  mTZ_halisi Member

  #8
  Jun 15, 2009
  Joined: Oct 26, 2007
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mmh lugha jamani
   
 9. M

  MissKitim Member

  #9
  Jun 15, 2009
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matangazo ya Big Brother 2009 on DSTV , moja ya vigezo ni "One who can speak English Fluently". Je hao uliowataja hii sifa wanafullfill?
   
 10. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Maisha plus kwa muda wooote ilitumika lugha ya kiswahili wakati bigbrother ni kiingereza tu je hawa kingereza kinapandaa??????. pia umri wa chini ni miaka 21 je hawa umri wao unakidhi kigezo hichooo???. Nadhani wapo vijana wengi wenye kukidhi vigezo muhimu vya kushiriki wajitokeze na wasikilize ushauri wa mshindi waBB-II clouds FM
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kwi kwi kwi kwi Mkuu vipi........hapo mazee Geeque angekutoa kwenye kinyang'anyiro chake..........kwi kwi kwi
   
Loading...