zinyalulu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 420
- 224
Amani kwetu sote,nimefurahishwa na kauli ya kafulila aliyoitoa jana kwenye kipindi ch dk 45 alipoulizwa juu ya tuzo aliyopewa na kituo cha kutetea hakiza binadamu.katika maelezo yake juu ya suala la escrow kafulila alisema ufisadi wa escrow ni wa kihistoria pamoja na kwamba nimeibua mimi ufisadi ilikua vigumu kwangu pekee yangu kuishinikiza serikali kuwawajibisha wahusika hivyo kufanikisha hilo tulishirikiiana na wabunge wenzangu bila kijali itikadi,wanaharakati,vyombo vya habari na mashirika mbalimbali yasiyo ya kiserikali hadi kufanikisha.kwa hii kauli nampa big up kafulila kwa kutojiimua tofauti na wanasiasa wengine wanaopenda sifa hata zisizo zao.