Big up ITV kuripoti nchi zote za EAC

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,121
10,231
Wanajamvi "Mnyonge mnyongeni,lakini haki yake mpeni" . Hawa ITV pamoja na weaknesses walizonazo naona ndio kituo pekee cha TV nchini ambacho kipo serious kutuhabarisha yanayojiri East Africa na maziwa makuu. Pokeeni pongezi zangu ITV...Leo nimeona wameongeza ripota Uganda...Hii ina maana kwa sasa wanatuletea habari za
1.Burundi
2.Kenya
3.Uganda
4.Rwanda na
5 . Congo DRC

Bravo ITV...nimewa endorse!
20170218_202937.jpg
20170218_202935.jpg
 
Wazee waanzilishi wa neno mubashara! kweli hawa mubashara!
 
ITV Channel waoga waoga, habari za Manji awakuripoti, sijui wanamuogopa tokea hile ishu yake na Mengi
 
ila waboreshe display ya maandishi yao ya hapo chini hayana mvuto na upangiliaji wao mbovu
ccCNNBBCCCTVALJAZEERA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom