Hahaha... hayo mengine mimi simo ndugu yangu.
Hili limekuwa tatizo kubwa sana hapa JF. Watu kutunga story na kuifanya kama ni tukio la kweli bila kuweka tahadhari kwa wasomaji. Na kuna wimbi kubwa la utunzi (fiction) wa kuomba ushauri kwenye mambo ya mahusiano au kimaisha na mikasa mbali mbali ambapo watunzi wanajifanya ni kama tukio la kweli. Hawajui tu lakini inaondoa mvuto wote wa kusoma. Mbona kuna watungaji wengi tu wa fiction na hueleza kabisa kuwa hii ni fiction na wana wasomaji wengi? Hata mimi napenda sana kusoma novel za fiction.Huwa nikishajua ni fiction sisomi stori yoyote.
Nshatia timu mkuu makaveli10Oya baba J DeepPond unaitwa huku.