Mjini Dar Es Salaam, tupo Samora Ave. PPF HOUSE, mkabala na Harbour View Hotel. Ila kwa 'nature' ya kuwajali wateja wetu, tuko 'mobile' tukiwafuata huko waliko 'physically' na 'electronically'.
Nawaomba mjenge imani kidogo tu, na faida yake mtaiona punde.
Najua kwa wenzetu wanaotoa huduma kama yetu, mteja akiamua kujitoa huwa anasumbuliwa sana, na kama akipewa amana yake basi huwa anakatwa kiasi fulani cha pesa.
Huduma yetu mtaipima wenyewe, na hata msiporidhika hakuna mizengwe yoyote mteja akiamua kujitoa.
Tunawatakia Idd njema Waislam wote nchini na duniani pote, Idd Mubarak!
Ofa maalum ya Idd -el- Fitri, kwa wale wote watakaojiunga na Victory Mobile Network mwezi huu wa nane, punguzo maalum la ada ya kujiunga Tsh. 10,000/= tu badala ya Tsh. 15,000/=
Kuanzia tar. 01 Septemba 2012, ada ya kujiunga itakuwa Tsh. 20,000/= tu.
Karibuni Victory Mobile Network, kwa maendeleo na mafanikio ya wajasiriamali wadogo na wa kati.