Big results now

Big results now

halafu ni wilaya wanayotoka waziri wa elimu na Rais wa nchi - Bagamoyo
 
251045_190483097666147_1825318_n.jpg
Mulugo kasoma na hao tena ndo huyo kainama anaandika.
 
Hii inaweza kutokea tu kwenye nchi kama tanzania ambayo viongoz wake wanaita bilion 1 vijisenti,ambayo viongozi wake wanatorosha fedha,ambayo kiongozi anafuja bilion 220 anafungwa miaka 2,nchi pekee dunian inayotumia umeme ghal zaid dunian(generator) sooo saaad,polen makamanda chipukiz ipo cku tanzania itainuka.
 
halafu ni wilaya wanayotoka waziri wa elimu na Rais wa nchi - Bagamoyo
Wanabahat kuzaliwa kwenye nchi ya asali na maziwa ila viongoz wachache wezi,wala rushwa,wenye uwezo mdogo(wizara ya elimu),waliokosa uzalendo,walafi wameiba tumain lao la maisha bora.
 
Kuna viongoz wakiiona pepo lazima nikate rufaa kwa mungu.
 
Back
Top Bottom