Big Result Now without strategic plan

Big Result Now without strategic plan

mititi

Member
Joined
May 16, 2013
Posts
51
Reaction score
8
Nakumbuka enzi za mwalimu kuna mwandishi mmoja aliwahi kutoa kitabu kilichokuwa kikiitwa 'Kaptula la Max'.Maudhui ya kitabu hiki yalikuwa yakimzungumzia mtu aliyeitwa max ambaye alikuwa mnene sana na ambaye alipenda sana kuvaa kaptula.Kuna mtu mwingine alikuwa mwembamba sana ambaye alifurahishwa na uvaaji wa Max na hivyo yeye naye kuhitaji kushonewa kaptula kubwa kama la Max bila kutafakari kama ataweza kuvaa nguo ya Max.tatizo la nchi yetu ni kurukia mifumo bila kufanya upembuzi yakinifu kwa mazingira ya kwetu.Matokeo Makubwa Muda huu bila kuangalia idadi ya vitabu,maabala,walimu wenye sifa,majengo,motisha.Kweli nchi hii ni Pepo la mabwege.
 
Yaani sasa hivi Serikalini hakuna watendaji siku hizi.. Ni siasa na ndio maana sasa hivi wamekuwa mabingwa wa kutoa kauli mbiu.. Ati Big result now..
 
nakumbuka enzi za mwalimu kuna mwandishi mmoja aliwahi kutoa kitabu kilichokuwa kikiitwa 'kaptula la max'.maudhui ya kitabu hiki yalikuwa yakimzungumzia mtu aliyeitwa max ambaye alikuwa mnene sana na ambaye alipenda sana kuvaa kaptula.kuna mtu mwingine alikuwa mwembamba sana ambaye alifurahishwa na uvaaji wa max na hivyo yeye naye kuhitaji kushonewa kaptula kubwa kama la max bila kutafakari kama ataweza kuvaa nguo ya max.tatizo la nchi yetu ni kurukia mifumo bila kufanya upembuzi yakinifu kwa mazingira ya kwetu.matokeo makubwa muda huu bila kuangalia idadi ya vitabu,maabala,walimu wenye sifa,majengo,motisha.kweli nchi hii ni pepo la mabwege.


never hope for a soup while cooking an empty port. Big results now without big inputs now is a big problem now
 
tuipe mda ila mpaka sasa
NADHANI big results now ipo zaidi kwa ajili ya kukibakisha chama hapo kilipo kuliko kuiletea nchi maendeleo.
Time will tell.
 
Kwa uongozi upi na watendaji wapi kuleta Matokeo Makubwa Sasa? Kwa chama kipi?? Na Bunge lipi?? BRN my foot! Labda BRN kwenye madawa ya kulevya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom