Big Resignations, Bigger Questions! Who Played Kenyans?

Big Resignations, Bigger Questions! Who Played Kenyans?

OwadeKuya

Senior Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
128
Reaction score
119
Wakenya wanabaki na maswali mengi baada ya vigogo wa sekta ya mafuta kujiuzulu kufuatia madai ya “kuchezea” takwimu za mafuta nchini. Je, hii ilikuwa mchezo wa kupanga bei juu huku mwananchi akiteseka?

Reports zinaonyesha kuwa maafisa wakuu akiwemo Mohamed Liban, Joe Sang, na Daniel Kiptoo walihusishwa na kubadilisha data ya mafuta ili ionekane kuna uhaba. Hii ilizua panic kwa wananchi bei zikapanda, foleni zikaanza, na pressure ikaongezeka kwa kila mtu.

Swali kubwa: Kama mafuta yalikuwepo, nani alifaidika na “shortage” ya fake?

Kwa ground, mwananchi wa kawaida ndiye anaumia:
  • Matatu fares hupanda instantly
  • Bei ya chakula inaongezeka juu ya transport costs
  • Biashara ndogo ndogo zinadorora
Na mwisho wa siku, ni wewe unalipa gharama ya “system”
Inasemekana shipment ya mafuta iliingizwa kwa njia ya nyuma, nje ya mfumo rasmi wa serikali (G2G), na hata ubora wake unaulizwa. Kama hii ni kweli, basi si tu scam ni betrayal kwa Wakenya.
Serikali sasa inachunguza sakata hii, lakini wananchi wanauliza:
Tutawahi pata ukweli kamili? Ama hii nayo itaisha kama scandals zingine?

Je, unaamini hii ilikuwa “planned crisis”? Na nani anapaswa kuwajibika big bosses pekee ama system mzima?
 
Nnavowajua wakenya hilo kwao ni swala dogo tena saana na watalimaliza wenyewe bila hata ya kiongozi kuwasimamia. Wewe subiri.
 
Shithole countries tunafanana, hata huku Malawi tuliambiwa stock ya wese ipo vizuri for the next 3 or 4 months.

Lakini kabla jogoo hajjawika mara3, bei ya lita moja ni sawa na bia 2 kwa mangi, na mteuliwa aliyetangaza uwepo wa stock ya kutosha akaliwa kichwa.

Tufwile wandu wa Kyala.
 
Shithole countries tunafanana, hata huku Malawi tuliambiwa stock ya wese ipo vizuri for the next 3 or 4 months.

Lakini kabla jogoo hajjawika mara3, bei ya lita moja ni sawa na bia 2 kwa mangi, na mteuliwa aliyetangaza uwepo wa stock ya kutosha akaliwa kichwa.

Tufwile wandu wa Kyala.
It's so sad, yet ni pesa ya uma ndio inayotumiwa
 
Back
Top Bottom