Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,249
Oh boy, the poorest country in the western hemisphere na bado wanapata hizi natural disaster kababe kama hizi, so sad. Mungu awasaidie lakini nasikia ni maelfu ya watu waliopoteza maisha huko.
Eeeh, Mungu wasaidie wenzetu hawa katika kipindi hiki kigumu.