Inasikitisha sana na kutia huruma.
Haiti ni nchi yenye Uhuru kwa takribani miaka 200. Heiti ni nchi iliyo isaidia USA kuwatoa Waingereza, lakini sasa imekuwa ndio nchi Maskini kuliko zote.
Unajua ni kwa nini? Jibu liko wazi...
Well, if you can pray, I will say pray for them. Jirani yangu hapa, anatoka Heiti, na mama yake ndo alikwenda Haiti last week, kwahiyo, najua jinsi hii habari inavyo weka athari kwa maisha yake.
Again, it is time to think positive.