Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,666
- 99,357
Si kweli hiyo.Nyash hushuka na kupotea kama mtoto aliyebebwa mgongoni huku hajafungwa mbeleko barabara!Akili hudumu.Ndiyo maana kuna wazee wa busara ila hakuna akina bibi mgongo binuka.Ni mikongojo tu.Wote nyash zao zipo pale pale na wote akili zao zipo pale pale
Hakuna cha kusikia fumbua macho 😅Sema tu
Nafumba macho, nisisikie.😀
Ujue bwashee Nyash ina raha yake. La msingi ujue tu mtaka yote hukosa yote.Na wengi wanachukua big nyash wanaweka ndani , kumbe pakacha.
Kweli bwashee 😅halafu tako liwe laini sio gumu kama uchumi wa tanza gizaUjue bwashee Nyash ina raha yake. La msingi ujue tu mtaka yote hukosa yote.
Hahaha. Unaweza ambia washauri wako brain itatumika ya kwako wasikupangie.Kweli bwashee 😅halafu tako liwe laini sio gumu kama uchumi wa tanza giza
Si ndio? Kuna tako mninginio kuchomoa ni ngumu bwasheeHahaha. Unaweza ambia washauri wako brain itatumika ya kwako wasikupangie.
Hahaha Mning'inio una nguvu kuliko misemo ya wahenga.Si ndio? Kuna tako mninginio kuchomoa ni ngumu bwashee
Tulia aunt mie ni mtoto wa africa😅Nimeshafumba
Haya, sema tena
Tako fulani hivi la kijanja , likiwa kubwa kama kudulia nalo keroHahaha Mning'inio una nguvu kuliko misemo ya wahenga.
Sawa auntie.Tulia aunt mie ni mtoto wa africa😅
Hujawah kuona mzee amezeeka mpaka akili kuanza kupotea?Si kweli hiyo.Nyash hushuka na kupotea kama mtoto aliyebebwa mgongoni huku hajafungwa mbeleko barabara!Akili hudumu.Ndiyo maana kuna wazee wa busara ila hakuna akina bibi mgongo binuka.Ni mikongojo tu.
Code hiyoSawa auauntie
Nakaribia kuingia.Code hiyo
Vipi lindo?
Hatari sana.Tako fulani hivi la kijanja , likiwa kubwa kama kudulia nalo kero
MnoHatari sana.
Hazipotei isipokuwa anakuwa anazitumia kwa ubahili tu.Hujawah kuona mzee amezeeka mpaka akili kuanza kupotea?