Big November Crusade ilibadili Dar

Big November Crusade ilibadili Dar

establishment

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
1,632
Reaction score
2,451
Niwe mkweli mikutano hii ya injili ilibadili maisha ya wengi tena baadhi waliacha uovu na kumrudia Mungu. Leo hii viongozi wetu wa DINI hawana hii mikutano mikubwa ya INJILI ya kuwaleta watu wamjue Mungu. Kwa nini?

NB: Tulijaa kwa maelfu pale uwanja wa JANGWANI miaka ya 1991-1994.**
RIP Reinhard Bonke.
 
Enzi hizo uamsho ulikua mkubwa sana. Watu walimtafuta Mungu kwa bidii bila kujikweza. Bonke alikuja TZ kutokea ujerumani na PA system kabambe na hakujikweza
 
Niwe mkweli mikutano hii ya injili ilibadili maisha ya wengi tena baadhi waliacha uovu na kumrudia Mungu. Leo hii viongozi wetu wa DINI hawana hii mikutano mikubwa ya INJILI ya kuwaleta watu wamjue Mungu. Kwa nini?
NB: Tulijaa kwa maelfu pale uwanja wa JANGWANI miaka ya 1991-1994.**
RIP Reinhard Bonke.
Kipindi kile nilikuwa mdogo sana ila nilisimuliwa kuwa mwaka 2000 ingekuwa mwisho wa dunia so kila mtu alipatwa na kauoga fulani kwa hofu wakamfuta mungu kwa wingi.

Ila sasa dunia imeendelea sana mambo yamebadilika sana watu wa sasa ni wajuaji wa kila kitu maarifa kwa watu wengi yameongezeka ndani ya muda mfupi sana na viburi vimeinuka kwa watu wa ulimwengu huu.
 
This makes a lot of sense!!

Vingine ni kwamba kukua kwa utandawazi umechangia kwa kiasi kikubwa, pia kuna mlipuko wa makanisa na imani ny8ngine tofauti na wakati ule.
Hata ikirudi wakati huu haitakuwa na impact ile tena
 
Mkuu
Unamaanisha hata imani upendo na miujiza project ilidunda. Maana yule jamaa nilimkubali sana marketing ya mahubiri yake. Tatizo hakuwa na contents
 
Enzi hizo watu wa kawaida na viongozi wa dini walikuwa wananamtafuta Mungu sana sasa hivi wengi waumini na viongozi wanatafuta pesa sana sio Mungu nguvu ya kuvuta maelfu wafike kwenye mikutano hawana
 
Alikuwepo Reverend mwingine siku zile Roy Durman. Tunaweza kumbatiza jina ROY DARMAN kwa sababu alikuwa anakuja Dar kila mwaka.
Nime Google na nimeona kwamba alikuwa anatoka Canada na kwamba amekufa 2018 at the age of 91.
RIP Roy Durman.
 
Watumishi hawa Mungu aliwatumia kuokoa roho za Mamilioni
 
Niwe mkweli mikutano hii ya injili ilibadili maisha ya wengi tena baadhi waliacha uovu na kumrudia Mungu. Leo hii viongozi wetu wa DINI hawana hii mikutano mikubwa ya INJILI ya kuwaleta watu wamjue Mungu. Kwa nini?

NB: Tulijaa kwa maelfu pale uwanja wa JANGWANI miaka ya 1991-1994.**
RIP Reinhard Bonke.
hujui kama roho mtakatifu yupo kwa ajili ya watu wote hamna tena haja ya kuongozwa na mtu kumjua Mungu kwa mujibu wa Biblia?
 
Enzi hizo watu wa kawaida na viongozi wa dini walikuwa wananamtafuta Mungu sana sasa hivi wengi waumini na viongozi wanatafuta pesa sana sio Mungu nguvu ya kuvuta maelfu wafike kwenye mikutano hawana
jana Mwamposa alikuwa na watu wengi sana kanisani kwake
 
Back
Top Bottom