Big Brother Africa Stargame Final

Big Brother Africa Stargame Final

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,692
Wakuu kwa wale wafuatiliaji wa hii kitu leo ndo final, Mshindi ni mmoja kwa mwaka huu na ataondoka na kitita cha USD-300,000.East africa tunawakilishwa na Prezoo aka the president from kenye na Kyle from Uganda, wengine waliobaki ni Wati-Malawi,Lady medi-Namibia,Talia-Zambia, na Keagan-SA
Mastaa kibao kutoka africa watapeform
Ntawaletea update kadri ntakavyoweza,nawasilisha..

Update...
Keagan from South Africa is the winner of BBA Stargame 2012....
 
Wakuu kwa wale wafuatiliaji wa hii kitu leo ndo final, Mshindi ni mmoja kwa mwaka huu na ataondoka na kitita cha USD-300,000.East africa tunawakilishwa na Prezoo aka the president from kenye na Kyle from Uganda, wengine waliobaki ni Wati-Malawi,Lady medi-Namibia,Talia-Zambia, na Keagan-SA
Mastaa kibao kutoka africa watapeform
Ntawaletea update kadri ntakavyoweza,nawasilisha..

Lady May.......
pamoja sana mkuu....tunafuatilia.......

mambo ndo yameanza,presentee IKE from naigeria anachart na washiriki....
 
sijui kwa nini naona Kyle ndio anachukua.......
 
show bado inaendelea wakuu,sasa ni music performance zinaendelea...
 
dah,,jamaa wanamambo mengi balaa...
 
haya sasa...Eviction ya kwanza usiku wa leo ni...WATI IS outiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....
 
haya sasa....mtoano umeanza....Wati nje.....
 
Wati from malawi amekuwa wa kwanza kutoka kwenye fainali.....
 
next housemate to leave the house is.......Kayle outiiiiiiii......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom