Huko ni kampeni Unfollow Davido inaendelea......
Page yq BBA nayo wa Nigeria wamepanik vibaya sana wapi Diva Beyonce... raha hadi naumwa
Hivi ni kwanini mtu akiwa superstar (Mwanaume) lazima avae hereni????? Yaan nakereka
Idris ameshinda big brother africa na kujinyakulia dola za kimarekani 300000=hongera ziende kwake na watanzania wote kwa kututangazia taifa letu kimataifa.
Hv hapo TRA watakataje kodi? Akifika bongo au huko huko kwa madiba?
jinga sana wewe, kawaambie tra wakakate kodi kwanza kule kwnye escrow.
Mac muga ndo mwisho
Hivi hii ya mwaka huu ndo alitaka kwenda dida shaibu? Angetoka mtupu.