Big Brother Africa 2009: The Revolution

JF Noumer!!!
Elizabeth Gupta from Tanzania sooo cute

elizabeth_graf_lg.jpg


Age: 21
Country: Tanzania
Hometown: Dar Es Salaam
Occupation: TV Presenter / Actress

Biography:
Elizabeth has one sister, two brothers and she's a Miss Tanzania Top 10 finalist. She says the best part of her country to visit is Mount Kilimanjaro and the best thing about Tanzanians is their kind and positive nature. Elizabeth is a big Man United and Chicago Bulls fan and rates sleeping late and waking up too early as her bad habits. She loves dancing, needle work, cooking, watching TV and traveling - she has also lived in Hungary.:)
 
Christa from Zimbabwe....

Sooo cute... Geezzz!! This time I doubt I will be watching :)


Kristal

kristal_graf.jpg


Age: 26
Country: Zimbabwe
Hometown: Harare
Occupation: Ambulance Technician

Biography:


Kristal has won awards for speech & drama, swimming competitions and also for modeling. She is engaged and has three siblings. Kristal says that Zimbabweans are warm and friendly and the best places to visit in Zimbabwe are the Victoria Falls and Kariba. To relax, she reads and watches TV and says her favourite memory is watching her niece being born. She hates liars and backstabbers and lists her clothing style as “fabulosity”.
 
Elizabeth Gupta from Tanzania sooo cute :)

JF ilishaweka wazi jina toka siku ya kwanza tunabishana juu ya Wema Sepetu, kama unakumbuka kulikuwa na post iliyomuelezea Elizabeth Gupta kuwa atatuwakilisha
 
JF ilishaweka wazi jina toka siku ya kwanza tunabishana juu ya Wema Sepetu, kama unakumbuka kulikuwa na post iliyomuelezea Elizabeth Gupta kuwa atatuwakilisha

Yeah man, Kama nakumbuka vizuri, You Said it!
 
Paloma anatoka KITWE (Zambia) mji mmoja na aliotoka Cherish Simmons mshindi wa BBA I (2003) alafu tofauti na wenzake yeye ana mwili mkubwa anaweza kuzikwaaa kura za wapenda mizigo mizito ha ha ha. Alichonifuraisha ni kuwa analipenda umbile lake na anweza kulitumia kumpa ushindi, maana wakati wa kungia umeona anavyoligeuza geuza watu wafanye asessment zao khaa! Lakini sidhani kama ni jambo zuri kutanguliza utaifa kwa kusema atawakilisha Culture ya Zambia hapa watu wanajali Uafrika zaidi, naona angesema anawakilisha a real african woman
 
Hawa wadada akili zao hazijatulia, mdada wa zimbabwe anawaambia wenzie kuwa aliondoka wiki iliyopita, Ndege ilikuwa inaondoka saa 1 usiku alitakiwa kuwa uwanjani saa 11 na anadai kwa mara ya mwisho alifanya mapenzi na Boyfriend wake saa 11 inamaana akiwa uwanja wa ndege kabla tu ya kucheck in Khaaaa!
 
Hawa wadada akili zao hazijatulia, mdada wa zimbabwe anawaambia wenzie kuwa aliondoka wiki iliyopita, Ndege ilikuwa inaondoka saa 1 usiku alitakiwa kuwa uwanjani saa 11 na anadai kwa mara ya mwisho alifanya mapenzi na Boyfriend wake saa 11 inamaana akiwa uwanja wa ndege kabla tu ya kucheck in Khaaaa!
Mkuu unamaanisha ni Kristal kaongea hayo?

kristal_graf.jpg


Duh!
 
Dawh!, Watu Wanamajungu!....

Wema Sepetu, Kanumbah!....

Aaaaanyway, Gupta in the HOUSE!, Yuko very motivated!..and She has The DRIVE!...

Lets See How Long ata-last, naona Mkenya na Mlugha lugha gani sijui wameshawatoa!...

Starehe hizi!, hivi kuna sehemu naweza watch Hii Kitu Live, yaani muda wowote nikitaka!? Instead ya Recorded bits!?,

B.
 
Back
Top Bottom