kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,098
Inasemekana hawa jamaa huwezi kuwapika chungu kimoja na haziivi kabisaaa eti kisa tu kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake.
Imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa hali inayoleta sintofahamu baina ya beef hili.
Mwenye kujua juu ya hili na atiririke
Imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa hali inayoleta sintofahamu baina ya beef hili.
Mwenye kujua juu ya hili na atiririke