bifu nalo hadi church!!!!!

mangochi_Jr

Member
Joined
May 15, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Ati cku moja panya alikwenda church kusali,kaingia ndani misa inaendelea akapiga magot anageuka nyuma akamwona paka, ndipo panya akasema "mmmmh ndugu yangu humu tumekuja kusali tu mambo ya kuwindana na kutafunana baadae!!!" ndipo paka nae akajibu kwa hasira "acha kujitetea wew humu tunakula mpaka mwili wa bwana yetu kristo ndio nikuache wewe"
 
ha ha ha ha ha ha haaaa haaaaaaa haaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

ebwana ee paka hana mpinzani
 
nhahahaaa, panya kichwa kweli!

Jiniaaaaaasi!
 
Hahahahahaha sepa mwaya wakat wa kutoa sadaka

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbona upande wa pili hauchokozi au unaogopa maandamano?

upande huo wa pili mungu wao hajiamin ndo mana ukimgusa tu wafuasi wake wanamsaidia hivyo wafuasi wananguvu kuliko mungu wao lakini upande huo alouzungumzia mungu wao anajitetea mwenyewe na ana nguvu zaidi ya wafuasi wake hiyo yeye hujisumbukia mwenyewe na kusumbukia wafuasi wake.
 
Ngoja wakusikie, wataandamana wewe.
 

huu ni mtandao wa kijamii, hivyo kuwa makini na kauli zako. Usianze kutukana imani za wenzako. Kila mmoja anafanya kile anachokiamini. Na kumbuka hili ni jukwaa la utani, usianze kuleta serious issue hapa. Jiangalie dogo usingilie maisha ya mwenzako, angalia kwako.
 
soma vizuri uelewe kilicho andikwa hakuna dini iliyo tajwa hapo acha umbumbumbu na kuwaza maandamano mda wote haijatajwa dini hata moja hapo nakushangaa unavyo jishtukia kijana then mtu usiye mjua huna ruhusa ya kumuita dogo kama ulivo sema huu ni mtandao wa kijamii na hakuna aliye jitambulisha umri wake so take care unaweza kumuita dogo mzazi wako we mtoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…