warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hii vita vya Lulu na Mange naona inamcost sana Majizzo. Ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi Lulu Tz. Lulu ni mtoto mdogo sana kwa Mange lakini kampiga bao Mange kimaisha ndio maana Mange anaweweseka kutwa na Majizzo, anajua anampa jeuri Lulu.
Naona anajaribu kufanya kila mbinu akishirikiana na wabaya wa Lulu na Majizzo kumpoteza kabisa Majizzo jambo ambalo amefanikiwa kwa asilimia 10.
Lulu unaambiwa sasa hivi hana raha kutwa full stress. Alijisemea Lemutuz Mange ana spirit ya Jezebel, ana nguvu kubwa sana ya ziada, nguvu ya maangamizi, nguvu ya kuteka akili za watu, nguvu za giza naweza kusema.
Lulu ujiandae mapema, maana Majizzo akitoka polisi hawezi tena kuwa na Lulu,usiulize kwa nini. Huu umbea wa familia, ubuyu exclusive