BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
hhhahhaaahhaaa au kimba la asubuhi..
Au kimba la kumalizia
hhhahhaaahhaaa au kimba la asubuhi..
tupo wengi mkuu lakini kuna watu wanahonga nyumba pale au sijui waga ni story tu! rose ndauka ndio anachanganya akili yangu, naweza nikamuhonga hata elfu hamsini..
Kaka tupo wengi ila mimi ROSE NDAUKA NITAKUZIDI KIDOGO NAWEZA KUMUHONGA 90,000/= BILA YA KUDAI CHANGEtupo wengi mkuu lakini kuna watu wanahonga nyumba pale au sijui waga ni story tu! rose ndauka ndio anachanganya akili yangu, naweza nikamuhonga hata elfu hamsini..
Hahahahaha mkuu umenifurahisha,eti elfu 50. Sio gari?
Kaka tupo wengi ila mimi ROSE NDAUKA NITAKUZIDI KIDOGO NAWEZA KUMUHONGA 90,000/= BILA YA KUDAI CHANGE
Shoga ake kasema "anatafuta pa kufia" kauli nzito hiyomacho hayana vipimo hhhhaaaa
Ni id ya mtu anajiita "shoga-akeee"shoga ake nanii huyo
Ha ha ha sheeeeee mi nilijua ndoa nimeona nikaguna tu akaniblock, nlitaka kushangaa yani mme kadanja muda mfupi tu anaolewa tenaEti kamevishwa pete ya uchumba kenyewe kanajiita mrs chief
Binamu mara nyingi japo sio mara zote nairudia tena mara nyingi mtu mwenye hizo kitu ngoma huwa ipo jirani tu fanya risechiKwa hyo unamuangalia mtu kwa sura? KWa hyo mtu mdomo ukiwa na fungus basi ana ngoma? Mmh kazi unayo binamu mwaka huu, hahahaha
Binamu mara nyingi japo sio mara zote nairudia tena mara nyingi mtu mwenye hizo kitu ngoma huwa ipo jirani tu fanya risechi
Ha ha ha naona umejitolea kwa moyo mmoja kumtetea husna kwani veepee....ngoja tuendelee kupata udaku kwa hisani ya InstagramMara nyingi mtu akiwa na vidonda mdomoni anakua ana upungufu wa vitamin C (scurvy ) , so huenda ana upungufu huo, unatokana na kutokula matunda yenye asili ya uchachu kama machungwa, limao ,ndimu na nk, msisingizie ukimwi