Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
huenda make ile afya mmh af kana fangas za mdomo sema tu ndo kanapaka lipstick hazionekani ila mmmmmmh
Eti kamevishwa pete ya uchumba kenyewe kanajiita mrs chief
huenda make ile afya mmh af kana fangas za mdomo sema tu ndo kanapaka lipstick hazionekani ila mmmmmmh
SI walikuwa wanaona raha kuhongwa magar ya kifahar, na wadudu wawabebe sasa
KIla mtu anamvizia mwenzie amchafue kweny mitandao
baki njia kuu
Na nani ivi? Maana nasikia tu sjui chief
Wanaviziana sana ila lulu angekua mpole maana yy ni staa hvi unajua husna kavishwa pete ya uchumba
mi lulu mwenzenu nahisi jini yule
Na anauso mkavu yule mtoto tukaache kako kwenye mitihani pale. Magogoni
Kama upo ig kamuone shoga_akeee uone baadhi ya vijembe
ha ha ha unajua mtu mgonjwa kuna muda unaezamwangalia tu ukajua...haya macho yangu yamesomea udaktari lol!!kabla sijaskia ana ngoma na bendi ile kipindi cha msiba wa bwana yao alipost picha hana kipodozi wala filter yani mdomo una fangas nkajiemea tu kumoyo huyu....sasa na kwa tuhuma hizi mmh naamini 40% kuhusu lulu mweh sijui buana
Mimi huwa nashangaa ninaposikia kuwa eti LULU NI MZURI
yule hafanyi anafanyiwa pepa
ufupi tu ulee jamani..
hhhahhaaahhaaa au kimba la asubuhi..Kama stuli???
Mimi huwa nashangaa ninaposikia kuwa eti LULU NI MZURI