High Vampire JF-Expert Member Nov 17, 2012 2,915 2,086 May 9, 2021 #1 Habari za Kazi, Nimeagiza AliExpress mzigo kwenye shipping address nimejaza majina yangu mkoa niliko pamoja na namba ya simu je mzigo utafika salama ?
Habari za Kazi, Nimeagiza AliExpress mzigo kwenye shipping address nimejaza majina yangu mkoa niliko pamoja na namba ya simu je mzigo utafika salama ?
MoneyHeist4 JF-Expert Member Jul 10, 2017 2,106 3,068 May 9, 2021 #2 Ndio utafika na utafikia post ya mkoa wako.
goodlif1600 JF-Expert Member Jun 1, 2016 794 865 May 9, 2021 #4 High Vampire said: Habari za Kazi Nimeagiza AliExpress mzigo kwenye shipping address nimejaza majina yangu mkoa niliko pamoja na namba ya simu je mzigo utafika salama ? Click to expand... Utafika mkuu lands uibiwe na watu was posta
High Vampire said: Habari za Kazi Nimeagiza AliExpress mzigo kwenye shipping address nimejaza majina yangu mkoa niliko pamoja na namba ya simu je mzigo utafika salama ? Click to expand... Utafika mkuu lands uibiwe na watu was posta
High Vampire JF-Expert Member Nov 17, 2012 2,915 2,086 May 9, 2021 Thread starter #5 Kiongozi hela inauma hahahhahaa
High Vampire JF-Expert Member Nov 17, 2012 2,915 2,086 May 9, 2021 Thread starter #6 goodlif1600 said: Utafika mkuu lands uibiwe na watu was posta Click to expand... Ok Asante basi poa nisubili sasa
goodlif1600 said: Utafika mkuu lands uibiwe na watu was posta Click to expand... Ok Asante basi poa nisubili sasa