Bidhaa zitafika nikiagiza kwa mfumo huu

High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,915
2,077
Habari za Kazi,

Nimeagiza AliExpress mzigo kwenye shipping address nimejaza majina yangu mkoa niliko pamoja na namba ya simu je mzigo utafika salama ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom