Nitaweka tuMbona hujaweka hizo sababu
Uzi umemponyoka😄😃😃Mbona hujaweka hizo sababu
Safi sana hii ni sababu moja kubwa Sana, umemaliza na uzi uishie hapoMangedo, mfano katoro mizigo inachukuriwa kuwa inaenda Burundi, au Rwanda au unganda hivyo inatozwa ushuru kidogo bandarini Kwa kufata international laws taxation lakini inashushwa katoro. Hivyo bei inakuwa chee.
Ushaidi unaoMangedo, mfano katoro mizigo inachukuriwa kuwa inaenda Burundi, au Rwanda au unganda hivyo inatozwa ushuru kidogo bandarini Kwa kufata international laws taxation lakini inashushwa katoro. Hivyo bei inakuwa chee.
Hvi wewe Gwanseri unapajua Karutanga weweWakuu
Tanzania mzima miji hiyo ya Katoro, Kasulu, Tunduma bidhaa mbalimbali bei ni sawa na kariakoo kwa sababu ambazo nazoweka hapa chini
Ila mikodi ya bongo ni kutiana umaskini tuu ndio maana kutoboa ni ngumu sanaMangedo, mfano katoro mizigo inachukuriwa kuwa inaenda Burundi, au Rwanda au unganda hivyo inatozwa ushuru kidogo bandarini Kwa kufata international laws taxation lakini inashushwa katoro. Hivyo bei inakuwa chee.