Bidhaa za Alibaba

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,087
423
Habar wanajamii,samahani ila nlikua naulizia kama ukitaka kununua bidhaa kwa kupitia alibaba,je kuna uaminifu kule?samahani na namomba msaada
 
Kwanza inategemea ni biashara ya aina gani, lakini hata hivyo hao wahindi ni wachakachuaji wa kutosha inabidi uwe mwangalifu sana kwani ukiangalia hata CDs wanazotuuzia tunaishia kununua picha za kwenye COVER na si kilichomo ndani.
 
Yaah ni waaminifu sana tu tena ni garantii kupata mzigo wako. Cha muhimu kutimiza masharti yao tu. Mi nimeshafanya nao na hawakunisumbua.
 
Nashukuru kaka kwa majibu ila nlikua nataka kuagiza A4 t-shirt printer na nlimtumie ujumbe seller na hajajib mpaka sasa hivi na ni free shipping to Tanzania through DHL na kuna mwingine nliwasiliana nae ilikua imeandikwa free shipping na akaniambia sio free shipping to Tanzania ingawapo walikua wameandika hvo.
 
Nashukuru kaka kwa majibu ila nlikua nataka kuagiza A4 t-shirt printer na nlimtumie ujumbe seller na hajajib mpaka sasa hivi na ni free shipping to Tanzania through DHL na kuna mwingine nliwasiliana nae ilikua imeandikwa free shipping na akaniambia sio free shipping to Tanzania ingawapo walikua wameandika hvo.Link ya hawa wengine ambao nawatumia ujumbe na hawanijib ni

T shirt printer A4-in Inkjet Printer from Industry & Business on Aliexpress.com.

Naomba msaada wanajamii
 
Alibaba ni neno la kichina maana yake kwa kiswahili ni MWIZI
Sina zaidi, lakini namna descriptions za bidhaa zao zinavyokua lazima kuna ulaghai uliojificha

Habar wanajamii,samahani ila nlikua naulizia kama ukitaka kununua bidhaa kwa kupitia alibaba,je kuna uaminifu kule?samahani na namomba msaada
 
alibaba kama una hela ya mkopo utafungwa! bei ya chini utafikiri umeula,, ingekuwa kweli wafanyabiashara wasingekuwa wanahangaika kufuata bidhaa dubai, china nk,,, unaagiza laptop unaletewa mdoli wa laptop
 
Back
Top Bottom