Huramabi2 Member Dec 11, 2014 20 3 Jan 24, 2016 #21 Huramabi2 said: Pata maelezo toka bodi ya Biashara za nje ili ujue walaji wanahitaji nini huko. Kuhusu mtaji waza vema mtaji mkubwa ni faida kubwa. Kopa ukishakuwa na hakika ya aina ya biashara usiwaze mambo ya mtaji mdogo. Click to expand... Kuliko uwaze kufanya biashara za mtaji mdogo nje ya nchi ni bora kufanya ya mtaji mkubwa ndani ya nchi.
Huramabi2 said: Pata maelezo toka bodi ya Biashara za nje ili ujue walaji wanahitaji nini huko. Kuhusu mtaji waza vema mtaji mkubwa ni faida kubwa. Kopa ukishakuwa na hakika ya aina ya biashara usiwaze mambo ya mtaji mdogo. Click to expand... Kuliko uwaze kufanya biashara za mtaji mdogo nje ya nchi ni bora kufanya ya mtaji mkubwa ndani ya nchi.
Huramabi2 Member Dec 11, 2014 20 3 Jan 24, 2016 #22 Huramabi2 said: Kuliko uwaze kufanya biashara za mtaji mdogo nje ya nchi ni bora kufanya ya mtaji mkubwa ndani ya nchi. Click to expand... Maana mtaji mdogo wa biashara ya nje ndiyo mtaji mkubwa wa biashara ya ndani.
Huramabi2 said: Kuliko uwaze kufanya biashara za mtaji mdogo nje ya nchi ni bora kufanya ya mtaji mkubwa ndani ya nchi. Click to expand... Maana mtaji mdogo wa biashara ya nje ndiyo mtaji mkubwa wa biashara ya ndani.