Bidhaa kutokana na taka

Bidhaa kutokana na taka

fikirijohnas

Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
56
Reaction score
49
Habari wadau.
Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata taka mbalimbali kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali(recycling)
Ninaomba kwa mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu wazo hili anisaidie orodha ya baadhi ya bidhaa zinazoweza kuzalishwa kutokana na taka(recycling)kwa gharama ndogo za uzalishaji.
 
Bajeti yako ya mashine za recycling??ndo tukupe wazo la nini kuwa recycled na which product to produce
 
Inasikitisha sana
Mwandishi anajua kuwa taka zinatengenezwa bidhaa, ila hajui bidhaa gani zinaweza kutokana na taka. Inapaswa aulizwe; amejuaje kama taka zinatumika kutengeneza bidhaa?
Hii nchi ngumu!
Ila poa;
Mkaa
Ndoo/mabeseni
Matofari
Nguzo za fence
Doormats
Mbolea
Activated carbon
Nondo na vyuma vingine
Hizo zote waweza kutengeneza kwa kutumia taka. Kuhusu gharama ndogo, labda mbolea na nguzo.
 
Habari wadau.
Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata taka mbalimbali kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali(recycling)
Ninaomba kwa mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu wazo hili anisaidie orodha ya baadhi ya bidhaa zinazoweza kuzalishwa kutokana na taka(recycling)kwa gharama ndogo za uzalishaji.
Kabla Hujaelezwa Bidhaa zinazoweza kuzalishwa, ni vyema ukaja na wazo kuu unataka kufanya Recycle ya Product zipi haswa?
Je! Ni nini kimeku inspire kufanya hiyo Invest.
Je! Walengwa ni kina nani hasa unataka uwaguse?
Je! Umejaribu kufikiria zaidi kuhusu madhara ambayo wenda badae ukawekewa vikwazo na wizara ya viwanda pamoj na mazingira?
 
Hapana

Mkuu
Mwandishi anajua kuwa taka zinatengenezwa bidhaa, ila hajui bidhaa gani zinaweza kutokana na taka. Inapaswa aulizwe; amejuaje kama taka zinatumika kutengeneza bidhaa?
Hii nchi ngumu!
Ila poa;
Mkaa
Ndoo/mabeseni
Matofari
Nguzo za fence
Doormats
Mbolea
Activated carbon
Nondo na vyuma vingine
Hizo zote waweza kutengeneza kwa kutumia taka. Kuhusu gharama ndogo, labda mbolea na nguzo.
Ahsante rafiki
 
Hapana
Kabla Hujaelezwa Bidhaa zinazoweza kuzalishwa, ni vyema ukaja na wazo kuu unataka kufanya Recycle ya Product zipi haswa?
Je! Ni nini kimeku inspire kufanya hiyo Invest.
Je! Walengwa ni kina nani hasa unataka uwaguse?
Je! Umejaribu kufikiria zaidi kuhusu madhara ambayo wenda badae ukawekewa vikwazo na wizara ya viwanda pamoj na mazingira?
Hapana mkuu,Sina elimu ya ndani zaidi kuhusiana na hilo ndio maana ninahitaji kuelimishwa
 
kwa 5 M nakushauri anza na biashara ya kuzalisha chakula cha samaki-ukauzia wale wanaofuga samaki kwa vizimba...mtaji ukikuwa utaanza kuwa recycle Chupa za Azam na Mo Energy.(hizi uzalisha Nyavu za kuvulia samaki,vizimba vya kufugia samaki na Bidhaa zinginezo zikiwemo Mawigi ya kina mama), Mtaji ukikuwa utaweza anzisha recycling ya matairi yale ya matrucks ya migodini( Mwanza ina hizi tairi toka enzi ya mkoloni aziozi na azina deal mpaka sasa yamerundikana tu)haya utazalisha exportable products..baada ya hili utaweza anzisha Mradi wa kurudia kuchambuwa mchanga toka machimbo ya dhaabu na almasi hapa utapata pesa nzuri tu! Utanunua meli kama za Azam ukawa unasafirisha watu Mwanza Bukoba Uganda etc......
 
Pia magugu maji huko nchi za wenzetu ni malighafi ya bidhaa zaidi ya 10.Unaweza anzisha uzalishaji wa hizi bidhaa ukatumia magugu maji kama malighafi.. Na hapo Mwanza Magugu maji ni tatizo (unahitaji vibari toka serikalini- NB.. kudeal nayo bila vibali ni sawa na kudeal na meno ya Tembo) ujuzi wa kuzalisha bidhaa zitokanazo na magugu maji yupo mtu anao ntakuunga nae kama upo interested.
 
Attachments

Ahsante sana ndg
 
Back
Top Bottom