Bidhaa kutoka INDIA

sassy girl

Senior Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
112
Reaction score
174
Habari ,je unahitaji bidhaa yoyote kutoka India kama vile simu za Oppo, Xiaomi ,redim bei tofaut kulingana na simu unayohitaji

Dawa za kihindi mitishamba ambayo imesagwa na zingine vidonde kama unasumbuliwa na tatizo lolote pengine dawa umezitafuta au hazipo Tz na huenda ulishawahi tumia zikakusaidia au zimekiishia na unahitaji tena tafadhar agiza mzigo wako ntakutumia Kwa FedEx company one kg ni 3000 rupees na inakifikia ndani ya siku 4_7 kama ni heavy machine meli siku 14_21

Nguo za sherehe kama vile harusi maulidi zipo pia

Dawa za wenye vipara wanaohitaji mafuta yake unaweza kuagiza nguo viatu UREMBO vipodozi n.k mawasiliano whatsp na call +91 9990874397

Agiza chochote kile uaminifu ndiyo mtaji
 
Ile iliki ya india cheki kilo shs ngapi huko unambie. Kwa jumla. Halafu upige ma calculation inakuaje mpaka kufika bongo kwa kilo.
 
Nafikiri sio.mara ya kwanza unaqwka Tangazo hapa....kimsingi nhaupo Makini unatangazo Kama vile unamtaangazia mpangaji.mwwnzako!
Hueleweki...hujitqmbui!?
 
Oppo reno 4 na oppo A92 in price tafadhali
 
Bei 1010651 Reno 4 Pro (32000)India rupees
 
...nipe kazi nikutengenezee vzur tangazo lako,liweze kueleweka na kuvutia wateja wengi...

Pia niajili niwe customer care wako...

Sina KAZI mkuu,Bei yangu ni maelewano tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…