Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Kwanini Golbachev alikimbilia kwao⁉️⁉️🤔Hawakuwahi ivunja ussr..walifanya kila linalowezekana ila ilishindikana kabisa..USSR haikusambaratika kwa sababu ya marekani..au kazi ya CIA.. Ni tofauti kabisa.
Mkurugenzi wa CIA wa kipindi hicho amehojiwa mara nyingi na kuthibisha hilo.
Hawakutarajia kama tukio lingetokea wakati ule tena kwa kasi vile..
Yule mkurugenzi wa CIA aliamua kujiuzuru baadaye maana anasema CIA ilipoteza kabisa dira hawakujua nini cha kufanya tena..it was a big surprise to them.
Inahitaji makala ndefu kidogo ili tuweze kuelewana nini hasa kilitokea mpaka kusambaratika kwa USSR.
Kwa vile Marekani ndio alikuwa adui mkuu na harakati zake kupitia CIA but wengi huipa sifa kubwa CIA ambazo hata huo uwezo hawakuwa nao wakati huo..bali walikua wanaendelea na harakati ngumu za na kuamini one day sijui mwaka gani watafanikiwa.
Ila sio wakati ule..fuatilia Dr classified documents zao nyingi zinaeleza bayana.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app