Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,008
- 142,677
Really?Mkuu Umesahau Tanzania ilipigwa ban ya kutokuingia USA? Pamoja na Nigeria, na nchi zingine tano..
Pamoja na makonda na familia yake wakapigwa life ban ..juzi kati tu hapa.
Nyani wa afrika wana tabu sana!! Hamkumshauri aitishe maombi iishe kama huku?Nimesema mara kadhaa hapa kwamba suala la COVID-19 ndio moja ya sababu kuu ya kushindwa Trump, watu hawaelewi.
Ila pia zipo facts zaidi kama kupandisha minimum wage iwe dola 15 kwa saa ni zaidi ya mara mbili ya kiwango cha sasa.Mimi nadhani ni character.
C-19 ni kama imekuja tu kuongeza ladha mwishoni mwishoni hapa.
Kwa sababu, kama sababu kuu ingekuwa ni C-19, basi ungeona huo ushindi umepenyeza hadi kwenye bunge [Reps na Senate], State legislatures, na kwenye ugavana wa majimbo.
Hilo halijatokea.
Matter of fact, GOP wameongeza viti kwenye House of Representatives. More than likely the house will be split 50-50 or thereabouts. Hivyo, siku za Nancy Pelosi kuwa spika zinahesabika.
Kwenye senate more than likely GOP wata maintain majority, albeit a slim one. But a majority nonetheless.
Kwenye state legislatures, GOP wameweza ku flip state legislatures 3, na hivyo kuongeza idadi ya majority ya legislatures zinazoongozwa na GOP.
Na hilo suala ni muhimu sana kwa redistricting ambayo yaweza ku determine house majority for the foreseeable future.
Kwenye ugavana pia, GOP wana viti vingi kuliko Dems. Asilimia 52 hivi, kama sijakosea.
Hivyo, hakukuwa na blue wave kama ambavyo polls zilikuwa zinadai.
Kilichokuwepo ni rejection tu ya Donald Trump, hususan kutokana na tabia yake.
Kama ingekuwa ni rejection ya GOP policies, ni lazima ingekuwa reflected kwenye nafasi zingine.
Mfano, ni majuzi tu hapa senate GOP wamem confirm Justice Amy Coney Barret kwenda kwenye Supreme Court. Lakini hilo halijawa cost kwenye sanduku la kura.
Na kuna GOP wengi saana ambao hawakumpigia kura Trump, bali walipiga kura dhidi yake kwa kumpigia kura Biden.
Hilo kundi halitokuwepo tena 2024. Litarudi nyumbani.
The 2020 US election was a referendum on Donald Trump mainly because of his character.
Punguza hasira, jikite kwenye hoja.Nyani wa afrika wana tabu sana!! Hamkumshauri aitishe maombi iishe kama huku?
Siwezi mwonea hasira kima, nimeuliza tu hamkumshauri Trump aitishe maombi amalize Covid19 kama mlivyoimaliza bongo kwa maombi?Punguza hasira, jikite kwenye hoja.
Trump na Lissu wote wajuaji hivyo hawahitaji ushauri.Siwezi mwonea hasira kima, nimeuliza tu hamkumshauri Trump aitishe maombi amalize Covid19 kama mlivyoimaliza bongo kwa maombi?
Ngoja MATAGA wakusikie watakuambia magumu alikupia kitimoto ukiwa bongoHahaaa daah!
Siasa bana.
Kila upande unatoa shutuma za figisu.
Mfano ajuza Hillary mpaka leo bado anadai aliibiwa kura kwa hisani ya Warusi.
Either way it goes, things will be alright.
Presidents don’t affect your day to day life.
People will still have to get up and go to work to put food on the table, have a roof over their heads, and clothes on their backs.
Hakuna Rais wa nchi yeyote ile hapa duniani aliyewahi kunilipia hata hela ya mafuta ya gari.
Trust me, hizo sababu zingine zingekuwa ni za muhimu sana basi ingejionyesha kwenye sanduku la kura!Ila pia zipo facts zaidi kama kupandisha minimum wage iwe dola 15 kwa saa ni zaidi ya mara mbili ya kiwango cha sasa.
Pili, Marekani wamekuwa wakificha ukweli kwamba nchi ipo katiu a kile kipindi cha economic depression kwamba idadi kubwa ya watu hawana kazi na wategemea handouts na food banks au charities kusukuma siku.
All in all nyuma ya pazia jeshi na Intel people watakuwa happy maana ni factions zao tu ndizo zilikuwa kwa Trump.
Wasiwasi wangu ni Military na Intel kuanza kutafuta wapi pa kupata ugomvi kwa kutumia the same foreign police yao.
Trump alikuwa anaivuruga FP kwa kuamua mambo yake kivyake bila kufuata ushauri na kile kitendo cha kumuua yule general wa Iran kwa kasi fulani kimeleta damage ya kufdumu kwenye uhusiano na Iran.
NyaniTrump na Lissu wote wajuaji hivyo hawahitaji ushauri.
Utamshauri vipi mtu anaejiona afahamu kila kitu?
Wote hawakuwa wakijikita kwenye kueleza sera na ilani za vyama vyao isipokuwa mipasho na kejeli.
Na sasa imekula kwao.
Natambua Republican kutawala senate lakin tayari "behind the scenes" wamekubaliana kushirikiana na hiyo ndo sababu kubwa ya kuchelewesha kumtangaza Biden.Trust me, hizo sababu zingine zingekuwa ni za muhimu sana basi ingejionyesha kwenye sanduku la kura!
Otherwise, unaelezea vipi GOP kuendelea kuwa na majority kwenye senate, unaelezea vipi GOP ku narrow gap ya members of House of Representatives?
Democrats hawajashinda hata kiti kimoja kilichokuwa kinakaliwa na Republican kwenye house.
Hii ilikuwa ni referendum ya mtu, the man, Donald Trump.
Unajua kuwa Mitt Romney, 2012 GOP nominee hakumpigia kura Trump?
Ulimwona G.W. Bush akimpigia kampeni Trump?
Mbona Obama alikuwa anampigia kampeni Biden.
Mke wa John McCain, 2008 GOP nominee alimu endorse Biden.
Na unajua kwa nini Biden kashinda hata Arizona? Home state ya McCain.
Arizona ni red state.
Trump, baada ya McCain kufa, hakwenda hata kwenye msiba wake. Bado akaendeleza bifu na marehemu.
Rais mzima unamsema vibaya mtu ambaye keshakufa??
Trump hakwenda hata kwenye msiba wa First Lady Barbara Bush!
Hata kwenye msiba wa Rais Bush, hakwenda.
Ilhali marais wengine wote walio hai, walienda kwenye hiyo misiba.
Character ya Trump ina flaws nyingi sana.
Nazungumzia Immaigrant Visa, Non-Immagrant Visa hatukupigwa ban na ndo maana wakina Roma na Beneficial wapo huko kwa muda.Really?
Mbona mimi kwa mwaka uliopita nimeweza kusafiri baina ya hizo nchi mbili zaidi ya mara 3?
Hiyo ban mimi haikunihusu labda?
Sijui unachokiongelea.Nazungumzia Immaigrant Visa, Non-Immagrant Visa hatukupigwa ban na ndo maana wakina Roma na Beneficial wapo huko kwa muda.
Nazungumzia ile DV-Lottery..
Naona amechanganya.Sijui unachokiongelea.
Mara huku useme mlipigwa ban....mara useme sijui nimemgeuka nani.
Hueleweki.
Hakuna jinsi.Natambua Republican kutawala senate lakin tayari "behind the scenes" wamekubaliana kushirikiana na hiyo ndo sababu kubwa ya kuchelewesha kumtangaza Biden.
Behind the scenes wamekuwa wakijadili ni vipi Biden atatawala bila kuleta tofauti kubwa ya kisiasa kwenye senate.
Lakini Biden ana bahati kwamba kiongozi wa wabunge wa Republicans bwana Mitch McConnell ni rafiki yake.
Kisha kuna mwenyekiti wa kamati ya bunge ya sheria seneta Lindsey Graham ambae mwanzoni alisema angemsaidia Trump kufungua kesi ya kupinga matokeo ya Pennsylvania lakini baadae alipoongea na Biden akaahidi kufany kazi nae kwa masharti fulani.
Hivi wafahamu wakati wa kampeni Democrats walijitahidi kuzuia vurugu za wafashist wa Trump ambao waliona model wao aelekea kushindwa.
Democrats ni chama cha Wall Street na military na mmoja wa maseneta aitwae Abigail Spanberger alitahadharisha juu ya matumiz ya maneno kama ujamaa socilism maana sera nyingi za sasa ni za kutengeneza tena huduma za afya kwa wote.
Spanberger ni jasusi na sasa anataka democrats kuhakikisha interest za military na intel zinazingatiwa na pengine ni kutafuta migogoro zaidi duniani badala ya ndani.
Ila la kwenye character nakubaliana nalo ingawa yapo mengi zaidi.
She is all over the place 🤣🤣Naona amechanganya.
Niko mitaa ya kivule. Why the Boss?Ashera uko USA? We ni female??
DV Lottery bado ipo na mchakato wake waisha wiki ijayo yaani tarehe 10 November tangu tarehe 7 October.Nazungumzia Immaigrant Visa, Non-Immagrant Visa hatukupigwa ban na ndo maana wakina Roma na Beneficial wapo huko kwa muda.
Nazungumzia ile DV-Lottery..
Mkuu umesahau leo hii juzi hapa Makonda anapigwa ban ya kuingia USA na Tanzania nayo ilijumuishwa?? Tafuta zile nchi za Saba Trump alizopiga Ban kuingia USA.Sijui unachokiongelea.
Mara huku useme mlipigwa ban....mara useme sijui nimemgeuka nani.
Hueleweki.
Mkuu ina maana mimi sijui au naomba nieleweshe hapo..DV Lottery bado ipo na mchakato wake waisha wiki ijayo yaani tarehe 10 November tangu tarehe 7 October.
Unachokisema weye ni Marekani kuifikiria kuiongeza Tanzania katika orodha ya nchi zenye raia wengi wa kiislam ingawa haikuja kuthibitishwa baadae.