Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Hizo takwimu umezipata wapi, kuweni makini sana na propaganda za nataifa yamagharibiNakubaliana na wewe kwenye uvumbuzi wa gun powder kweli wachina ndio walio vumbua lakini unajua kwamba walivumbua kwa miaka 100 ndio wazungu wakaiboresha zaidi. Kwenye calculator chuo cha Kent university kipo kent,Ohio ndicho kilichovumbua calculator sio wachina. Na hesabu ni Egypt ndipo kulipo vumbuliwa. Kuhusu wanafunzi wengi wanaosoma/ ongoza kwenye technology USA ni wahindi sio wachina nikija kwenye watu walio mbali kwa uvumbuzi ni wajapan sio wachina yaani wapo 3 years ahead ya USA na Europe. Nishasoma China na nishasoma USA kwahio huwezi kunidanganya kwa hilo.
Lunatic