Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,191
We jamaa unaweza tupa maandiko ya sera za magufuli ?Uyo Mnaye muona takataka Kuna wenzenu uko inje they call him nabii wa Mungu wengine shujaa wengine father of Africa
Mimi siwezi shangaa wa Tanzania kumkataa magufuli
Ila amini usiamini kiongozi yeyote awe wa Chama pinzani au wapi atakaye anzisha sera za magufuli trust me hé Shall be a next president in Tanzania ukweli ndo uo
CCM ndio wana sera sio magu, yeye alikuwa ni msimamizi wa sera za CCM tu.