Bidada mashallahu

Bidada mashallahu

Huyu mshangazi kama sio mhaya, sijui. Ana figa ya hatari. Hapa aliyepoteza ni mme wake haya yote ya sijui usitumie jina langu ni mahasira yake mwenyewe. Kama alikuwa haudumii hiki kifaa kitandani ipasavyo ana haki ya kumegewa.
Mume kakasirika hutafikiri yeye hajawahi kuchepuka ni Mwema sana, kaona amzalilishe kabisa baby mama. Mume hana busara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nyie huwa mnachepuka tu, ina maana ni halali in short hata mitaani uaminifu ni zero sema nyie vidume huwa hampendi wanawake wanafanya kazi
Ukiona mke wako anasema anakuwa mbunge mzee hesabia hasara tu. Kupona kutomegwa siyo kazi rahisi, kiufupi ofisi za umma kubwa kubwa hizi wanawake kupona ni ngumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom