Bidada anataka kuzaa na mimi..

Bidada anataka kuzaa na mimi..

Ila mkuu nimegundua una huruma sana

Endelea kuzini nae..zaa nae..oa huyo umpendae

Yatakayojiri utuletee mrejesho
Maneno Yao ni haya:

nakupenda sana ndo mana nipate mtoto atakayenifariji ukiniacha,
sitakusumbua kwa chochote nitatunza mimba mwenyewe mpka nizae na nitalea mwenyewe.

mwisho wa siku;:

we mbwa yani mwanao anaumwa hata kutuma ela uko kimya tu, wewe ni mwanaume gani huna hata huruma.

Litoto lako kazi kuharisha njoo umchukue au tuma hela.

Ushaur:
Usipende kuzaa zaa ovyo kama bata mwisho wa siku watoto wote watakuja uwahudumie wewe na sio mama zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom