Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
mhhh,kweli wachina mamedhamilia kutumaliza kwa toyo zao,maana bei ya hiyo bicycle naona haijaachana bei mbali na 'hifyo fyombo fya moto''.
YEAH I KNOW MKUU,BUT WACHACHE WENYE HUO UELEWA,NCHI YETU KILA MTU AMEKAA KIUJANJA UJANJA NA UPIGAJI TU...No mkuu unanunua quality na sio quantity
No mkuu unanunua quality na sio quantity
What's so special about that bike?800,000 ???
Ukitaka nikuletee brand new mountain bike kutoka south Africa kwa bei ya 600,000 tu co chines
Laki nane...
May be frame material. Muhimu zaidi cycling is a healthy life style.What's so special about that bike?800,000 ???
Kweli unaiuza kwa bei ya hasara.Bought brand new in 2014 from Specialised bikie shop $1,150
Specialised bicycle, size 29, giant, 27shimano gears, front & rear disc brakes, lockable rockshock shock absorber, free foot pump & Lock
Price 800,000Tsh
Reason to sale no time to ride anymore.
All are originals parts made in New Zealand, good tyres, no punctures tube!
View attachment 343137View attachment 343138View attachment 343139View attachment 343140
ngojea wanakuja uwakamate
Mkuu ile avatar umeiacha?Kweli unaiuza kwa bei ya hasara.
Mbaya zaidi bei unayouza inatosha kununua pikipiki second hand.
Kwa mamlaka niliyo nayo, nafungua milango ya wateja serious, washindane bei hadi uweze kuuza baiskeli hiyo kwa bei nzuri itakayo ufurahisha moyo wako na kukufanya usiamini kilichotokea.
Ile Bujibuji ntaanza kuitumia tena tarehe mojaMkuu ile avatar umeiacha?
Hii hapa $5000.What's so special about that bike?800,000 ???