Bible's verses contradictions

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,571
20,138
BIBLE’S CONTRADICTIONS

1. Genesis chapter 1
God created adam and eve together

Genesis chapter 2
God created adam and then eve later

2. Genesis 2:7 and 2:19
God created a man and then the animals

Genesis 1:24-27
God created the animals first and then a man

3. Genesis 32:30 and numbers 14:14
Men have seen god

John 1:18
No man has seen god

4. Jeremiah 3:12
God does not keep anger forever

Jeremiah 17:4
God does keep anger forever

5. Mathew 1:20
Angel appeared to joseph

Luke 1:28
Angel appeared to mary

6. Mathew 8:5
Centurion came to jesus

Luke 7:3
Centurion sent his elders

7. Mathew 4:5-8
Satan took Jesus to temple and then mountain

Luke 4:5-9
Satan took Jesus to mountain and then temple

8. Mathew 20:29
Two blind men were healed on the road

Mark 10:46-47
One blind man was healed on the road

Wafuasi wa yesu tusaidieni hapa
NOTE:Mimi sio mkristo,budha wala muislam
 
Mtoa mada,ni nini maana ya contradiction?
Mkuu eiyer nadhani ungejaribu kurudia kuusoma uzi kwanza manake hapo umeuliza swali badala ya kujibu swali husika :hebu tujaribu kwenda sambamba na maswali tunayoulizwa YANGU HAYO 2
 
umejenga gorofa msingi m'bovu unakomalia kuendelea kujenga rekebisha msingi kwanza.

jibu swali lake tuanzie hapo
unajua tangia nasoma nakumbuka sana mwalimu wangu aliwahi kuniambia USIULIZE SWALI JUU YA SWALI BALI JIBU JUU YA SWALI mm nimem critisize ili aweze kurahisisha uzi manake yy akiuliza na ww ukauliza na mm nikauliza utakuwa tena si uzi bali ni nyuzi juu ya nyuzi.
 
alisahau kukwambia swali juu ya swali ni aina JIBU.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Ukiweka swala LA dini katika mabishano hakuna kisichokua contradiction,.. Lakin ukiweka imani katika Mungu wako hata Yale magumu VP utayashinda,na utaiona mbingu na Neema ya ahera siku ikikwisha,..kwa iyo kwa Mungu yaan hata mchanga kwa njinsi ulivo wewe ni mdogo hata kusema neno kumuliza uwez,lakin wew pia ni mkubwa kuliko yote ya hapana dunia na unaurithi wa mbingu,..so don't question something you don't know,
 
  • Thanks
Reactions: dtj
1. Genesis chapter 1
God created adam and eve

Genesis chapter 2
God created adam and then eve later

hiki ni kitu kimoja.
wote waliumbwa na Mungu. chapter 2 imeelezea kwenye huo uumbaji jinsi proces/mchakato ulivyofanyika.
nani aliumbwa kwanza?adam au eva?
 
Ukiweka swala LA dini katika mabishano hakuna kisichokua contradiction,.. Lakin ukiweka imani katika Mungu wako hata Yale magumu VP utayashinda,na utaiona mbingu na Neema ya ahera siku ikikwisha,..kwa iyo kwa Mungu yaan hata mchanga kwa njinsi ulivo wewe ni mdogo hata kusema neno kumuliza uwez,lakin wew pia ni mkubwa kuliko yote ya hapana dunia na unaurithi wa mbingu,..so don't question something you don't know,
i question something that i know...biblia inajipinga kwenye hizo verses,..usiamini vitu blindly black man
 
Mkuu eiyer nadhani ungejaribu kurudia kuusoma uzi kwanza manake hapo umeuliza swali badala ya kujibu swali husika :hebu tujaribu kwenda sambamba na maswali tunayoulizwa YANGU HAYO 2
Hujalielewa tu swali langi lakini lina msingi mkubwa sana na linakupeleka kwenye majibu...

Usidhani majibu pekee tu ndiyo hukosewa bali hata maswali hukosewa vile vile....

Halafu mbona umeuliza "maswali yangu hayo mawili",kwani wewe ndiye mtoa mada?
 
nani aliumbwa kwanza?adam au eva?
Hakuna aliyeumbwa kwanza wala mwisho, hiyo ya uumbaji ni hadithi tu, mbona wanyama na binadamu walikuwepo mamilioni ya miaka kabla ya stori hii ya juzi juzi tu. Binadamu baada ya kuwa na akili na uelewa wameendelea kuitafuta asili yao bila mafanikio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom