Balungi
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 234
- 162
Kuna tangazo nimekuwa nikilisikia kuhusu usafi kuwa usipokuwa na choo, "shimo la takataka" na "uchanja", unapigwa faini.
Hivyo vitu viwili sijavielewa kwa ulimwengu sasa, Je shimo kwa wanaishi ghorofani wanafanyaje na kuhusu uchanja ndo kabisa siwaelewi maana vyombo siku hizi vinafutwa na kuwekwa kabatini.