Bibi mkali wa kigodoro !!

Bibi mkali wa kigodoro !!

CCM wanatamani Watz wote wawe kama huyu bibi ili waendelee kula peke yao keki ya taifa na kutwala milele ukiwa kichwa ka Mdee lazima wakupoteze
 
819c6abbf57ed4af40981de1614ee64b.jpg

Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai
naona Dela la chama CHA majipu
 
819c6abbf57ed4af40981de1614ee64b.jpg

Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai

Hiyo picha ndo avatar ya chukua chako mapema au? mbona mavazi sipati picha. Bajameni nauliza tu nakupita vile vile.
 
Haya maneno yako yananitia shaka sana: "Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai"
Hivi wewe unamtusi bibi yako, ushawahi kumuona akijinafasi na babu yako! Ebo, au ulikuwa unakula chabo wakati babu yako akiwa shughulini halafu unamlinganisha na huyo bibi kwenye hiyo picha mnato!
 
Sijawahi kuiona hiyo avatar...picha zinaweza kufanana sio ishu sana
 
Haya maneno yako yananitia shaka sana: "Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai"
Hivi wewe unamtusi bibi yako, ushawahi kumuona akijinafasi na babu yako! Ebo, au ulikuwa unakula chabo wakati babu yako akiwa shughulini halafu unamlinganisha na huyo bibi kwenye hiyo picha mnato!
Tafsiri yako
Hisia zako
Kelele zako
Povu lako....
Ni juu yako !!!!
 
Tafsiri yako
Hisia zako
Kelele zako
Povu lako....
Ni juu yako !!!!
Pole sana mkuu ila sisi tunafasiri unachaandika sio vinginevyo, maneno yako kama "Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai" yana tafsida kubwa sana kwa wasomaji. La, kama ulimaanisha vinginyo utanisamehe. Hilo ni jicho la mtazamo wangu.
 
............
Haina noma
 
Back
Top Bottom