MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,599
Huyu bidada kaishi maisha yake sawasawa hajavuka step hata moja kwa muonekano huu akiwa na 60. kuna watu wana nusu ya umri wake wamekongoroka vibaya. Nimejifunza kitu kutoka kwake.Kuna hatua aliziruka wakati wa ujana wake sasa zinamlazimu azirudie