kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
- Thread starter
- #21
kweli hiyo kali duh
kama mwezi moja uliopita kuna ripoti ilitolewa na vyombo vya habari kuwa kuna binti wa miaka 8 alijifungua mtoto katika mji mdogo wa mbalizi, jijini mbeya. ukimlinganisha na maria nafikiri utapata picha.