Mkuu avatar yako inasababisha nizime laptop; mjukuu wangu akiiona analia sana anasema unataka kummeza. Basi angalau toa hoja za mshiko.
Duh! hii ni sawa na kumchukua mtu msukule! ataingiaje Chadema bila ya kuelezwa sera za Chama? pili umemtapeli Bibi kizee wa watu maana Chadema pia ni familia ya Ba mkwe Mtei, mkwewe Mbowe, Ndesamburo, Mwanae ndesa mbunge wa kuteuliwa, mke wake, Slaa, mchumba ake, eks wife wake, wengine wataongezea hapa......!
Yangu ni bendera ya Tanganyika, niliyoshuhudia ikipandishwa 1960 lakini kwa sasa serikali ya CCM haiitambua na wala haitaki kuisikiaYako ni ipi hiyo??
Yangu ni bendera ya Tanganyika, niliyoshuhudia ikipandishwa 1960 lakini kwa sasa serikali ya CCM haiitambua na wala haitaki kuisikia
Poa ngoja tuombe uzima tuyaone hayoMda umeenda sana mkuu, amka toka usingizini, hatuna tena Tanganyika tuna Tanzania, na tunaelekea kuwa na dola ya afrika mashariki then ya Afrika, omba Mungu uone pia na ya Afrika ikipandishwa, ikishindikana tutakuja kukusimulia
Wacha uongo. Bendera imepandishwa baba yako akiwa na miaka mitatu.Yangu ni bendera ya Tanganyika, niliyoshuhudia ikipandishwa 1960 lakini kwa sasa serikali ya CCM haiitambua na wala haitaki kuisikia
jamani anatia huruma, ni pm namba yake nimtumie pesa ya kumkaribisha cdm
ni wapi huko ?
cdm mna mbinu za kilaghai kweli.