Bibi huyu amemla nyama mtoto

Bibi huyu amemla nyama mtoto

"......................" ila tatizo sasa bibi kuzungushwa uchi, kukalishwa chini, kupigwa dah!!! "........................"!!! Basi tu!! Lakini ngoja kwanza, hivi inakuwaje aisee!!!
 

unashangaa nini? mbona viongozi wako wa chama wanaongoza kwa vitendo vya kishirikina ili kupata uongozi...
mfano mdogo tu ni promo mliyompa Mwaisapile mkiuhadaa umma wa tz
 
Nasikia wakazi wa huko walioshuudia wanasema masela wamemla kijela huyo bibi.
 
Mkuu Mchawi hawi tu Mwana wa CCM anawea kuwa Mwana Wa Chadema au CAFU usilete chuki zako kwenye mambo ya chama Uchawi hauna Vyama hata wewe au mimi tunaweza kuwa Wachawi mkuu samahani kama nitakudhi jaribu kurekebisha maneno yako .

Kwa umri wake na asili yake ni lazima atakuwa mwana CCM.........ASANTE KWA KUNIPA ''LIKE''
 
jamani tuko karne ya 21. haya mambo ya gizani achaneni nayo. wekeni nishati zenu kwenye elimu na kuboresha maisha.
 
Mkuu Mchawi hawi tu Mwana wa CCM anawea kuwa Mwana Wa Chadema au CAFU usilete chuki zako kwenye mambo ya chama Uchawi hauna Vyama hata wewe au mimi tunaweza kuwa Wachawi mkuu samahani kama nitakudhi jaribu kurekebisha maneno yako .
Mimi nimewaelewa vema hawa wanaosema huyu ni hakosi kuwa mwana CCM, kwanza kule anakotokea ndiyo "Ngome" ya CCM ambayo kwa matendo yao alichokifanya mama huyu ni tone la maji katika kisima. Kwa hakika CCM ni zaidi ya wachawi, wamepora nyumba zilizojengwa hata kabla mama zao hawajawazaa na kusababisha wimbi la watumishi kuhangaika na sehemu za kuishi! wanakomba hela za kodi mpaka Benki Kuu, matokeo yake Hospitali ziko nyeupeee!!!! bila dawa; wamewageuza madaktari kuwa makarani wa kuandika dawa tu, nyingi zikiwa za kutumia uzoefu maana hata vitendea kazi hawana! "Wameloga" mfumo wa elimu watoto wetu wanamaliza hadi kidao cha nne wasijue kuandika wala kusoma! Wakiugua wao hupelekana nje, sisi tunafia majumbani kwa kukosa hata panadol! Watoto wao wanasoma Kenya na Uganda, na manyang'au wanene zaidi wanapeleka watoto wao Ulayaaa wa kwetu hata hela ya madawati iliibiwa na kuvimbisha matumbo ya wachawi hawa. Uongo, ghiliba, fitna na matusi ndiyo viburudisho vyao. Madaktari wamegoma siku kadhaa na kusababisha maafa; wao wanasema mambo yalienda bomba kabisa na wanaombea mgomo mwingine uje ili "kazi zifanyike vizuri zaidi" Kama si wachawi hawa basi tuwaiteje? Shame on them, history will judge them.
 
Back
Top Bottom