Bibi huhu kumbe ni Mwanga, Mchana kweupeeeeeeee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bibi huhu kumbe ni Mwanga, Mchana kweupeeeeeeee

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 2, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wajukuu wanamshangaa bibi akiwa hana nguo?
   
 3. M

  Mwalufunamba JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mbu Mzee, huoni ama kumbukumbu imepotea kwa sababu ya uzee?

  Mbona inaonekana wazi ni usiku. Pia cheki vaa ya hizo kanga, kaptula na ndala.
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,985
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  kwahiyo hao watoto wanaangalia utupu wa bibi? mbona ni usiku si alikuwa amelala jamani? labda aliamka kuja kukojoa uzee unamambo mengi.
   
 5. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mbona hata vitendea kazi hana?
   
 6. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Wameamua kumkashif Bibi wawatu wanga wanatembea nao 24/7 hawawaoni..
   
 7. c

  christmas JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,608
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  hapo ni usiku hawajamtendea haki bibi wa watu
   
 8. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamembaka wakasingizia mwanga.
   
 9. m

  markj JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  huyu bibi sio mwaga! labda ni mchawi, mana mwanga tafsiri yake tunaifahamu jamani, hata tukimuomba mungu huwa tunamwambia atuangazie maisha yetu(atupe mwanga kwenye maisha) sasa kweli mwanga ndu huu, hapana huyu ni mchawi haswaa, au lah! wabongo wenye vi blog nao skuizi wajanga huwa wanazitengeneza hizi mambo kuuza magaazeti tu na kupata ele ya bia mjini hapa.
   
 10. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  alipokuwa msichana alikuwa anaitwa" toto zuri" . tena wanamfuata na kuomba nanihii. amezeeka akili imezeeka huenda matatizo ya akili anaitwa mchawi, badala ya kumvika nguo wanafurahia kuona uchi wake. tuchukue tahadhari, sote tunazeeka tujiandae kwa haya tukizeeka. leo tunafanya kwa wazee tukifikiri ni mazuri, sisi pia ni wazee wa kesho tujiandae kufanyiwa haya haya
   
 11. B

  Bengal Sanke Senior Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Hii ni laana na upu...vu usiosameheka .... na ni dalili za umasikini wa akili na mawazo... Ni lazima pawe uswahilini hapo! Mgonjwa wa akili ataitwa mwanga, wazee kama hao ukienda ulaya wanatunzwa, kuvalishwa, kuogeshwa na kulishwa maana akili zao kiutaalamu zinapungua jinsi mtu unapozidi kuzeeka... Huku laana mnawauwa na kuwaita wachawi..... Ama kweli Africa bara moto... Bara la Giza... Angalia huyo kijana laana aliyemsogelea na kumdhihaki bibi wa watu masikini...Kijana huyo ni hayawani kabisa....anadhani sifa...Ningekuwa hapo ningemchapa bakora bila huruma......
   
 12. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,832
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Maskin huyo bibi!
   
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  this is not right
   
 14. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Watoto wa dotcom, hata hawageuzi macho!
   
 15. Blue G

  Blue G JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  mhhhh Mbuzi Mzee huyu bibi mbona mzuri hivyo?hapo anaitwa bibi je alipokuwa anaitwa dada je, unafikiri ilikuwaje?Hapo najua watu kama akina Bishanga, Kongosho na Asprin mimacho imewatoka pima wanasubiri tu mmalize maada wapate full details za huyo bibi.
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  Mbona inatia kinyaa hivi jamani?
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mambo ya Erick Shigongo hayo!!
   
 18. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,503
  Likes Received: 4,770
  Trophy Points: 280
  Nabadili upepo wa mjadala....huyu bibi anaonekana alivyokuwa kijana alitisha sana........
   
Loading...