Bibi harusi wa shoka

Bibi harusi wa shoka

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

de36019fcd30155bcd9ae63442913e7f
 
Sasa angefanyeje kama hakuwa na msaada mwingine mkuu?
 
mmmhhh ukute kaamua tu kupiga picha hivyo tuamini maana siku hizi Selebobo kawaharibu watu na selfie ni shida
 
Tafsiri ya hii picha inaweza kuwa kwamba wadada wapo obsessed sana na harusi kuliko wakaka. Ndio maana biharusi yupo busy kuhakikisha wana wahi tukio wakati bwanaharusi hana habari
 
Tafsiri ya hii picha inaweza kuwa kwamba wadada wapo obsessed sana na harusi kuliko wakaka. Ndio maana biharusi yupo busy kuhakikisha wana wahi tukio wakati bwanaharusi hana habari
Umeongea ukweli kabisa, bidada anatamani muujiza utokee awahi ukumbini, bwana harusi anataman arudi nyumban kulala
 
Hiyo ndo ya mwanamke yeyote duniani kuvaa shera hilo jeupee
 
I like her....bwana arusi amerelax hana shida
anajiandaa shughuli pevu ya baadae, ameshakunywa Viagra sasa akigusa kitu kingine chochote chenye kuhitaji nguvu kidogo tu ataharibu kabisaaaaa, iko so technical
 
ingekuwa mimi nikishamaliza naondoka kimya kimya namwacha hapo hapo
 
anajiandaa shughuli pevu ya baadae, ameshakunywa Viagra sasa akigusa kitu kingine chochote chenye kuhitaji nguvu kidogo tu ataharibu kabisaaaaa, iko so technical

Hahahaaaa....mpwa hao jana tu walikuwa wamelala pamoja hakuna cha shughuli.pevu wala nini
 
Hao wanaenda kubariki ndoa sio kufunga ndoa ndio maana bwana arusi hata mzuka hana maana haoni jipya la kukimbilia.Ndoa za siku hizi bana!!!
 
Itakuwa anawahi kanisani na Bwana harusi pengine keshafika tayari anasubiri Bi Harusi wake.
 
Back
Top Bottom