MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,010
Hilo sio tatizo kwa sababu mtu huyo tayari ni mtu mzima . Hatuzungumzii tofauti ya umri hoja ni kwamba huyo wa miaka 8 bado mtoto kama angekua na 30 halafu mume ana 50 isingekua issue..
Nikuulize swali, can u marry someone ambaye amekuzidi miaka 45? Siungi mkono hiyo issue, yote inatokana na watu kupoteza utu wetu. Huwa siwazi katika umri huu wangu, nije nioe binti ambaye anazaliwa leo huko mbeleni, what a shame...