Bibi harusi wa miaka 8 ahofiwa kufa akiwa honeymoon!

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,827
Reaction score
1,862
Ni katika nchi ya Yemen ambapo mtoto huyo aliozwa kwa mwanaume tajiri wa miaka 40! Kwa nini? Wazazi waliamua 'kumuuza' binti yao kwa mwanaume huyo licha ya umri mdogo kutokana na ugumu wa maisha! Ni kawaida ya watu maskini huko Yemen 'kuuza' watoto wao wa kike kwa matajiri kwa sababu za kiuchumi. Binti huyo mdogo alishindwa kuhimili mikiki ya mumewe kwani alikuwa mdogo mno kwa mambo hayo. Matokeo yake aliharibika kizazi na kuvuja damu kwa ndani ambapo tetesi zinasema alikufa na kuzikwa kisiri bila kupewa matibabu kwa kuhofia mkono wa sheria. Wazazi wa binti, mbakaji wake aliyehalalishwa na watu wote na viongozi wa mji lilipotokea tukio walishirikiana viivyo kuficha siri hiyo. Baba yake alifika hatua ya kutafuta mtoto mwingine ili kuthibitishia polisi kuwa mtoto wao ni mzima wa afya.
Kutokana na tatizo sugu la kuozesha watoto wadogo bunge la Yemen liliwahi kutunga sheria ya kuzuia wasichana kuozwa chini ya miaka 17 lakini kulitokea upinzani mkali kutoka viongozi wa kiislam eti ni kukiuka kuran kwa kuwa haijaweka umri maalum wa msichana kuolewa. Kwa hiyo sheria hiyo haikusainiwa ili kuwa sheria kamili.
Uchunguzi bado unaendelea kubaini ukweli. Habari hii hapa CNN. Inahuzunisha kama nini!
 
Lol jamani na hii midume isiyo na staha hii yaani nasikia hasira acha tu. Nadhan wanaume wa nchini humo ni punguani haiwezekani mtu wa 40yrs alale na mtoto wa 8yrs hivi hata kama umeozwa huoni hata huruma. Hivi hawa wenyewe hawana watoto au ndio ule usemi usemao mtoto wa kwako wa mwenzio mkubwa mwenzako.
 
Uislam unasema mtoto anavyovunja ungo anaweza kuolewa.
Coreection tu kwa hilo.
 
Yaani usiseme. Mimi story hiyo ilinivurugia pozi la weekend
 
Uislam unasema mtoto anavyovunja ungo anaweza kuolewa.
Coreection tu kwa hilo.

Ni sawa, lakini anapaswa awe tayari kwa tendo, kubeba mimba na pia kulea. Kuran haijakataza kuoa msichana wa miaka 20 au zaidi maana naye kaishavunja ungo na ana faida nyingine zaidi kama kumudu tendo, kuzaa vizuri na kulea.
 
Lol jamani na hii midume isiyo na staha hii yaani nasikia hasira acha tu. Nadhan wanaume wa nchini humo ni punguani haiwezekani mtu wa 40yrs alale na mtoto wa 8yrs hivi hata kama umeozwa huoni hata huruma. Hivi hawa wenyewe hawana watoto au ndio ule usemi usemao mtoto wa kwako wa mwenzio mkubwa mwenzako.

Huo msemo wanautumia vibaya........

Pesa inatafutwa je Roho ya mtu inasikitisha........ITS SO SAD
 
Lol jamani na hii midume isiyo na staha hii yaani nasikia hasira acha tu. Nadhan wanaume wa nchini humo ni punguani haiwezekani mtu wa 40yrs alale na mtoto wa 8yrs hivi hata kama umeozwa huoni hata huruma. Hivi hawa wenyewe hawana watoto au ndio ule usemi usemao mtoto wa kwako wa mwenzio mkubwa mwenzako.
their reasoning is completely blinded by dini. ukivunja ungo wanaamini wewe ni 'mtu mzima' regardless of age.
 
Ni sawa, lakini anapaswa awe tayari kwa tendo, kubeba mimba na pia kulea. Kuran haijakataza kuoa msichana wa miaka 20 au zaidi maana naye kaishavunja ungo na ana faida nyingine zaidi kama kumudu tendo, kuzaa vizuri na kulea.

1. Yule wa miaka 9 'aliyeolewa' na mtume ye vipi alikuwa kaishavunja ungo, anamudu tendo la ndoa, kuzaa na kulea? Maana mbona inaonekana huyu myemen kafuata suna?
2. vipi kuhusu ridhaa, mwanamke ana ridhaa ya kuolewa katika uislamu au anaozwa kinguvu na wazazi? maana nina mashaka kama mtoto wa miaka 8,9 au hata 14 anakubali kwa ridhaa yake kuolewa
 
Lol jamani na hii midume isiyo na staha hii yaani nasikia hasira acha tu. Nadhan wanaume wa nchini humo ni punguani haiwezekani mtu wa 40yrs alale na mtoto wa 8yrs hivi hata kama umeozwa huoni hata huruma. Hivi hawa wenyewe hawana watoto au ndio ule usemi usemao mtoto wa kwako wa mwenzio mkubwa mwenzako.

Mugabe analala na mtoto wa miaka mingapi?
 
1. Yule wa miaka 9 'aliyeolewa' na mtume ye vipi alikuwa kaishavunja ungo, anamudu tendo la ndoa, kuzaa na kulea? Maana mbona inaonekana huyu myemen kafuata suna?
2. vipi kuhusu ridhaa, mwanamke ana ridhaa ya kuolewa katika uislamu au anaozwa kinguvu na wazazi? maana nina mashaka kama mtoto wa miaka 8,9 au hata 14 anakubali kwa ridhaa yake kuolewa

Ndio maana sheria ya nchi yetu hairuhusu kuoa msichana chini ya miaka 18.Inahesabiwa 'umembaka' hata kama mmekubaliana. Kwa nini? Akili yake haijaweza kutofautisha lililo sahihi na lililo kosa kwa hiyo anakubali kwa sababu hana hoja ya tofauti ya kumwezesha kukataa. Anakuwa na imani kamili kwa huyo anayemshawishi waoane au wafanye sex. Amaamini kuwa anachosema ni sahihi kabisa, na wengi akishaingia matatizoni, labda kuwahi kuzaa ndipo anapoanza kusema 'ningejua?'
 
their reasoning is completely blinded by dini. ukivunja ungo wanaamini wewe ni 'mtu mzima' regardless of age.
Mmmh kzi kweli kweli. Hawa watu ni specie nyengine sidhani kama ni binadamu wa kawaida there must be something different.
 
89-43 unapata ngapi?
Hilo sio tatizo kwa sababu mtu huyo tayari ni mtu mzima . Hatuzungumzii tofauti ya umri hoja ni kwamba huyo wa miaka 8 bado mtoto kama angekua na 30 halafu mume ana 50 isingekua issue..
 
Back
Top Bottom