Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

ya nini kudanganya kuwa unafanya kazi sehemu fulani....af pia huyo asubiri aolewe nawenye pesa wapo tu.....uboya huo we mchane kama uko hivi af uone kama kakupendaau la
 
tatizo hamkubaligi walala hoi,
sasa ili tuwapate lazima tuwaingie kwa swaga za kipapaa,
ukija kujua mie ni muuza genge ni too late na "utamu na urod@" ushatoa,
Hawa walala hoi ninaowaona wakioa kila siku sijui nao wanadanganya hivihivi!!
 
Back
Top Bottom